Baadaa ya staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha kukaa na Ayo TV
katika exclusive interview na kuelezea ukweli kuwa hana mimba bali
alidai alikuwa anafikisha sehemu ya ujumbe katika filamu yake ijayo.
Leo December 22 2016 Soudy Brown amezungumza na Nisha akimuomba awaombe
msamaha kutokana na kusingizia msanii wa bongo fleva kumpa ujauzito
lakini yeye akasema hakumtaja mtu.
Aidha Soudy Brown amezungumza na Nay wa Mitego ambaye Soudy Brown aliwahi kusema ndiye mhusika wa ujauzito wa Nisha…..
‘nimemsamehe sinaga tatizo kabisa na mtoto wa kike, alifanya hivyo labda
kuna kitu chake alitaka kitimie, unajua upande wa movie biashara
imekufa kabisa ili aendelee kusikika lazima atengeneze kiki, nadhani
hiki siyo kitu kigeni tutasikia mengi’
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment