MWANZO……….
Toka alipotoka kijijini na kuingia katika jiji la Dar, karani alikuwa akifanya kazi ya kuuza maziwa katika mitaa, maziwa yakawa maziwa kwani badala ya kuwauzia maziwa wake za watu na kuondoka zake , karani akawa anautumia mwanya wa wanaume zao kukurupuka asubuhi asubuhi kuharakia vibarua vyao na kuwaacha wake zao vitandani wakiwa na mshawasha wa mapenzi kuwashawishi wanawake hao ambao walijikuta hawatoki kwenye kumi na nane zake . alikuwa akiwakaza wanawake hao mpaka wengine walikuwa wanasahau kabisa ladha walizozipata kwa waume zao , huku wengine wakidiriki kumfuata hadi katika zizi la ng’ombe akiwa anakamua maziwa wakidai wanataka maziwa haraka , na bila kufanya ajizi Muuza maziwa aliwakazia humo humo .
Mambo yalimbadilikia Muuza maziwa pale mke wa bosi wake alipomtaka kimapenzi japo awali alisita lakini akajikuta anamkaza nae pia na ni hapo ndipo aliposhuudia vioja na vibweka ambavyo hakuwahi kukutana navyo katika maisha yake yote ya kufanya maopenzi. Mwanamke huyu aliyekuwa mbabe na mwenye kutumia mabavu katika kufanya mapenzi kumbe alikuwa ni mwendawazimu aliyekuwa anatumia dozi ili kutuliza kichaa chake, na pale Muuza maziwa alipomgonganisha mwanamke huyo na wanawake zake ndipo kichaa cha mwanamke huyo kilipanda na kumuanzishia Muuza maziwa songombingo ambalo lilimfanya Muuza maziwa aione nyumba ya bosi wake chungu na kutimua mbio , mtaani …..
*******
Muuza maziwa alitoka nje ya nyumba ya bosi wake huku akitimua mbio . alikuwa haamini kabisa kama kweli amesalimika mikononi mwa mke wa bisi wake. Kichaa alichokipandisha leo kilikuwa mwisho wa matatizo. Hata iweje Muuza maziwa hakuwa tayari kurudi ndani ya nyumba hiyo tena.
Kwake hayakuwa yale makazi yaliyokuwa yakimvutia tena bali aliiona nyumba hiyo kama jehanamu.
Hakuwa na sehemun yoyote ya kwenda zaidi uya kwa rafiki yake kipenzi aitwaye Mwandambo,
Rafiki yake huyu naye pia alikuwa akiuza maziwa kwa kuzunguka kwenye majumba ya watu kama karani siku za nyuma , lakini siku hizi aliacha baada ya bosi wake kupata tenda ya kupeleka mnaziwa katika mahoteli.
Hivyo mwandambo kazi yake ilikuwa kuwahudumia Ng’ombe tu.
“ah karani!”
Mwanadambo aliongea mara baada ya kumuon a karani akiwasili katika zizi lake alipokuwa akiwa katia katia majani ng’ombe wake.
“mwandambo.”
“Vipi ndugu yangu mbona huko hivyo?”
Aliongea mwandambo , baada ya kumuona Karani akiwa katika hali isiyokuwa ya kawaida.
“nimekinukisha huko.”
“umefumaniwa na mke wa mtu nini?”
“yani bora hata ningefumaniwa .”
‘Ni msala gani huo basi.”
Mwandambo aliuliza , karani bila kusita alimsimulia kila kitu.
“duh, pole ndugu yangu.”
“ahsante, nimekuja unipe hifadhi kidogo wakati natafuta mishe ya kufanya.”
“usiwe na hofu wewe ni mshikaji wangu wa nguvu, uzuri bosi wangu hana maneno kabisa, ila tafadhari usitie tamaa kwa mke wa bosi wangu ukasababisha kiibarua changu kiote nyasi bure.”
Aliongea Mwandambo, kisha Muuza mnaziwa alicheka.
Mwandambo alikuwa akimaanisha aliposema hivyo, vurugu za Muuuza maziwa alizijua vizuri , toka kipindi kile walipokuwa wakiuza wote maziwa mtaani, mara nyingi alimshuudia Muuza maziwa akiingia kwenye nyumba za watu na kufanya mapenzi na wake za watu huku yeye akibaki nje kumlindia maziwa na kucheki usalama.
“vipi, unafikiria kufanya kazi gani sasa karani?”
“kwa kweli sijui ndugu yangu , yoyote ile nitakayoipata twende tu , si unajua mimi kiraka.”
“haya bwana mimi niko pamoja na wewe rafiki yangu.”
Aliongea mwandambo .
Tayari alikuwa amemaliza kukata kata nyasi.
Walitoka na kwenda chumbani kwa Mwandambo , hakukuwa na kiti hivyo waliketi kitandani , Mwandambo alitoka na kwenda kwenye nyumba ya bosi wake , akachukua chai ya maziwa na vitafunio akaviweka chini , kisha wote wakaketi chini na kuanza kupata kifungua kinywa.
Baada ya hapo Mwandambo aliendelea kushughulika na ng’ombe wake na karani alitoka kwenda mitaani kusaka kazi.
Hakutaka hata siku moja impite akiwa hana uhakika wa kazi. Kwani aliyajua vema maisha ya jiji la dar usipokuwa na cha kufanya.
Alisota kweli kweli siku hiyo kila alipoingia aliambiwa kazi hakuna , kijasho kilikuwa kikimtoka na jua kali lililokuwa likiwaka ndio lilizidi kumyong’onyesha.
Alitembea kinyonge akiwa ajui hili wala lile.
“Muuza maziwa! Muuza maziwa!”
Karani alisikia sauti hiyo iliyomshtua katika wimbi zito la mawazo alilokuwa nalo , alipogeuka hakuona mtu bali gari ndogo ya kutembelea, lililokuwa likikatiza kwenye barabara hiyo.
Kioo cha gari hiyo kiliposhushwa ndipo alipokutana ana kwa ana na sura ya Lisa. Yule mke wa Jerry ambaye alitaka kumponza apigwe na risasi siku aliyomficha kwenye kabati la chumba cha wageni baada ya mtu kubisha hodi walipokuwa wakifanya mapenzi sebuleni.
Ni kwa bahati tu Muuza maziwa aliponea kifo katika nyumba hiyo mara baada ya kutokea kama muujiza msichana aliyekuwa ndani ya chumba hicho na kupiga kelele za mwizi kumbe alikuwa ni msichana wa shuleaitwaye Penina aliyekuwa mpenzi wake kipindi anafanya kazi ya kuchunga ng’ombe huko suji mkoani Kilimanjaro.
Kwa sababu karani alikuwa anafanya mapenzi vizuri na penina , ndio maana penina akaamua kumtetea kwa kumdanganya kaka yake kwamba alipiga kelele kwa sababu alikuwa akiota, kaka yake akamuamini na hiyo ndiyo ilikuwa ponea ponea ya Karani.
“Jamani , muuuza maziwa , siamini kama ni wewe.”
Lisa alioongea mara baada ya kupaki gari lake kando ya bara bara na kushuka .
Muuza maziwa hakujibu kitu alibaki ameduwaa kumuangalia , kusema kweli aliapia hatokanyaga katika nyumba ya Jerry tena wala kumgusa mke wake .
Alijua kama akithubutu kumsogelea mke wake na ikatokea amefumania kwa mara nyingine tena basi bastola yake ataitumia kwa haki.
“kwa nini ulipotea jamani , Muuza maziwa , hata bili yako hukuchukua yani kila nikiulizia naambiwa hata mtaani kwetu uliacha kupita, kwa nini lakini?”
Aliongea Lisa kwa sauti yake laini ya kulalamika .
Karani alimuangalia huku akiwa na wasi wasi kwamba Jerry anaweza kutokea hapo na kumpiga risasi.
“twende basi angalau hotelini tukaongee vizuri , au unasemaje Muuza maziwa eh?”
Aliongea Lisa kwa sauti yake nyororo iliyokuwa na kila aina ya ushawishi.
Karani alitaka kukataa lakini alishindwa , hata yeye mwenye alikuwa amechoka siku hiyo na alihitaji kukaa sehemu kupumzika , tena sehemu yenye upepo mwanana wa kiyoyozi na sio kule chumbani kwa Mwandambo ambapo ataenda kulala huku jasho zikimtoka kwa joto lililopo kwenye kijichumba hicho kilichokuwa kifupi huku madirisha yake yakiwa mafupi kama kibanda cha kuku.
“unasemaje Muuza maziwa niambie basi, tafadhari , usiseme hapana”
Lisa alizidi kumbermbeleza.
“sawa”
Muuza maziwa alikubali.
“sawa!, nimefurahi sana Muuza maziwa twende kwenye gari basi “
Aliongea kwa furasha na kwenda kwenye gari Muuza maziwa alimfuata .
Lisa alimfungulia Muuza maziwa mlango , Muuza maziwa akaingia na kisha yeye akazunguka upande wa dereva akaingia na kuanza kuliendesha gari hilo.
Muuza maziwa alipokuwa ndani ya mkoko huo alishusha pumizi mara baada ya kupulizwa na ubalidi wa ac iliyokuwemo ndani ya gari hilo.
Walielekea moja kwa moja mpaka kwenye hoteli ya Landmark iliyopo Ubungo.
Lisa alikwenda mapokezi na kufanya malipo kisha wakaingia chumbani.
Lisa hakutaka kumkawiza Muuza maziwa , walipoingia ndani ya chumba hicho tu akamkumbatia na kuanza kumpa mabusu moto moto .
Uchovu wote aliokuwa nao Muuza maziwa ulimuisha midomo ya Lisa jinsi ilivyokuwa mitamu kuinyonya ilimfanya Muuza maziwa ainyonye kweli kweli .
Mikono yake ilianza kuyapapasa maungo ya lisa huku akiendelea kunyonyana nae denda.
“auuuh, assssi!”
Lisa alilalama pale Muuza maziwa alipovichomeka vidole vyake kwenye ndogo na kuvisukuma taratibu , huku mkono wake mwingine akiwa anayaminya minya makalio yake………ITAENDELEA.
TOA COMMENT NA MAONI YAKO ILI STORY HII TAMU IENDELEE
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment