Rapper wa kike na mwanafunzi wa UDSM, Chemical leo Dec 22, 2016 ameeleza
sababu zilizokwamisha album yake pamoja na movie mpya aliyomshirikisha
mwigizaji Wema Sepetu.
Rapper huyo akizungumza na millardayo.com & Ayo TV aliyaongea
haya>>>‘Labda naweza kusema nilikuwa nimepanga kuachia album
mimi na mwenzangu ila kutoka na mimi kubanwa na masomo chuoni sikuweza
kukamilisha album hiyo ambayo sasa hivi ingekuwa madukani’
‘Kitu kingine ambacho nilikuwa nimepanga ni kuachia movie mpya ya Wema
ambayo tulikuwa tumepanga kuitoa mwaka 2016 tumeshoot tangu mwezi wa 11
lakini ndio hivyo mambo hayajakamilika kwasababu shule inabana’
‘Kama utakuwa umesikiliza wimbo wangu wa Mary Mary ni wimbo ambao
unahusiana na watoto wa mtaani kwahiyo tukaona tuilete kwenye movie ili
stori iwe nzuri mtu anapoona kile nilichokiimba kwenye hiyo movie’
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment