Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo (Alhamisi) amemwapisha
Mkuu mpya wa Wilaya ya Ubungo, Kisale Makori na kumtaka kutokaa ofisini
na kusubiri taarifa badala yake atoke nje na kusikiliza kero za
wananchi wa wilaya hiyo.
Makonda amesema changamoto kubwa ya watendaji ni uwajibaki na kwamba
baadhi yao hupenda kusubiri kupelekewa taarifa za wananchi ofisini
badala ya kuwafuata wananchi katika maeneo yao.
"Naomba Makori usiwe mtu wa kusubiri taarifa ofisini pekee.Wanaubungo
wanamatumaini makubwa na wewe kwa sababu umeaminiwa na Rais (John
Magufuli),"amesema Makonda.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment