Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amefunguka kuwa
anataka kubakia katika kalbu hiyo kwa muda mrefu zaidi kwa kuwa anapenda
maisha yake na timu hioyo.
Mourinho ambaye kwsasa ana umri wa miaka 53, alijiunga na klabu hiyo
mwezi Julai, na sasa wako katika nafasi ya sita katika jedwali la ligi
baada ya mechi 17.
Najua kwamba ipo siku moja wataleta mkataba mpya, nitatia saini. alisema Mourinho wakati akingea na waandishi.
Mourinho pia amesema kwamba hatoelekea kufanya kazi nchini China , japokuwa amekiri kwamba fedha za China zinavutia kila mtu.
Nataka kusalia katika timu yenye changamoto kubwa ya kujipatia ushindi
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment