Rais wa Bolivia, Evo Morales amekumbwa na fedheha kubwa baada ya simu
yae kutoa sauti zinazoaminika ni za watu wanaofanya ngono wakati akiwa
katika kikao ndani ya mahakama.
Mkasa huo umetokea wakati Rais huyo akiwa katika mazungumzo na
wanasheria wa kimataifa kabla ya kuchukua simu yake na muda mfupi sauti
za mwanamke na miguno zinasikika kutoka kwenye simu hiyo ndipo ghafla
akaitupa chini.
Video hiyo iliyovujishwa na mtandao wa LiveLeak.com imewaacha watu
wengi waliokuwa ndani ya mahakama hiyo wakicheka kufuatia tukio hilo
huku baaadhi wakiishia kuguna.
Itazame hapa chini video hiyo ya mkasa wa wa Rais wa Bolivia.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment