Msanii wa muziki wa hip hop, Mwana FA amesema anayafurahia sana maisha
ya ndoa tofauti na inavyodhaniwa na vijana wengi wenye uoga wa kuingia
katika maisha hayo.
Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Dume Suruali, amedai toka
aingia kwenye maisha ya ndoa amekuwa ni mtu mwenye furaha zaidi.
“Ndoa siyo ngumu kama inavyofikiriwa na wengi, cha msingi muelewane,
kila mtu ajue unachofanya, na kuheshimu nafasi yake ndani ya ndoa,
maisha ya ndoa ni mzuri sana, tangu nimefunga ndoa, sioni tabu naona
raha tu,” Mwana FA alikiambia kipindi cha FNL cha EATV wiki hii.
Mkali huyo wa wimbo ‘Bado Nipo Nipo’ aliyoitoa takriban miaka 7
iliyopita iliyokuwa ikitisha vijana kuoa, amedai aliyoyaimba katika
ngoma ile ni ya kweli, na yalimsaidia kufanya utafiti wa kutosha kabla
ya kuingia kwenye ndoa na ndiyo maana ndoa yake haina mambo kama yale
aliyoyaimba katika ngoma ile.
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment