Kwa sasa hivi ngoma inayofanya vizuri kwenye hiphop ni Muziki wa
Darassa. Wiki iliyopita nilikupa story ya kwanini Darasa alimtaja
footballer Mbwana Samatta kwenye ngoma yake.
Leo hii namfananisha Pogba akiwa anachana kwenye beat kali kama vile alivyofanikiwa msanii Darasa kufunga mwaka na ngoma kali.
Sasa naomba uangalie uwezo wa Paul Pogba alivyodondoka na beat hii na
uniambie uwezo wake unaonaje. Video hii ilirekodiwa wakati wapo kwenye
michuano ya Euro jijini Paris. Hapo alikua na mshkaji wake Antoine
Griezmann.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment