Mchekeshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias aka MC Pilipili amesema
amerudi darasani kujinoa zaidi katika lugha ya Kiingereza, kama sehemu
ya mikakati yake ya kwenda kimataifa.
Kwenye interview niliyofanya naye, Pilipili amesema japo Kiingereza ni
lugha anayoielewa, angependa kuifanya iwe laini zaidi mdomoni mwake.
Amesema tayari amemaliza kozi ya kwanza pale British Council na tayari
ameshaona mabadiliko.
“Nimepiga pale miezi yangu mitatu, naanza mingine January halafu nitapiga module yangu ya tatu,” amesema.
“Nafanya hivyo kwasababu naamini kwamba once the student is ready,
teacher will appear. Kwamba nitakapokuwa tayari kwaajili ya kimataifa,
kwahiyo hata gigs za kimataifa zitaanza kutokea kwasababu unaanza
kufanania.”
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment