Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na
kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya
mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama Afcon2017
Michuano hiyo itafanyika mapema mwakani 2017
Uganda ndo taifa pekee ya africa mashariki lililofanikiwa kufuzu
Akiongea kwenye kipindi cha Times Fm manager wa diamond sallam ameongeza
kuwa diamond tayari ana booking mpaka julai 2017. Kama unamtaka inabidi
usubiri hadi julai
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment