Loading...

BREAKING Watu 19 wamefariki Mbeya leo hii baada ya gari walilokua wakisafiria kupinduka, habari zimethibitishwa na RPC Mbeya Ahmed Msangi.


Ajali za Tanzania kwenye vichwa vya habari zimezidi kuongezeka, leo April 17 2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.
Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema waliofariki mpaka sasa ni 19, endelea kukaa karibu na  kwa taarifa zaidi.
http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/04/ajali-Mbeya.jpg 
ajali 2 
ajali 3'
Ajali 4

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright KISWAGA BLOG
Back To Top