Kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa. Ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi bado una uwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha.
ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI:
1.
Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni
ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi
napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo ila
kelele zinazopigwa ni zile za raha zilizoambatana na Miguno ya kimahaba
kama alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na
kuikuza sauti. Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno
pindi raha zinapozidi.
2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua mwanamke anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake wengi hubainika kufika kileleni pindi raha zinapo wazidia na wanapo kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta hutumia nguvu nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka wanapomaliza kukidhi haja yao katika hili pia unaweza kumuona mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua ya kukung'ata meno ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya vitu bila kutarajia.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment