Je, unapenda kufungua mitandao mbalimbali ya jamii kama Facebook,
Tweeter, Instagram, Google Plus, Snapchat, LinkedIn, Youtube na
mingineyo kila siku?
Kama jibu ni ndiyo, basi uko hatarini kupata tatizo la msongo wa mawazo na wasiwasi.
Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pittsburgh cha Pennsylvania
nchini Marekani mwaka 2014 na kuzinduliwa mwaka huu, unaonyesha kuwa
matumizi ya mara kwa mara ya mitandao ya jamii yanaweza kusababisha
magonjwa ya akili, ukiwamo msongo wa mawazo na wasiwasi.
Wakati kukiwa na tatizo hilo, inakadiriwa kuwa asilimia 71 ya vijana
duniani kote hutembelea mitandao tofauti ya jamii kila siku huku simu za
mikononi zinazowezesha kupatikana mitandao hiyo kirahisi zikizidi
kubuniwa na kuboreshwa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment