Msanii Q Chief amefunguka na kusema kuwa baadhi ya wasanii kushindwa
kuachana na matumizi ya dawa za kulevya ni kutokana na wao wenyewe
kutokubaliana na hali hiyo kutokana moyoni mwao.
Q Chief pia ametoa lawama kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijifanya
kuwasaidia wasanii hao kuachana na madawa wakiwa na lengo la kutaka
kunufaika nao kibiashara tu na si lengo la kweli kuwasaidia kuondokana
na hali hiyo.
Q Chief anasema yeye alipitia kipindi kigumu zaidi kuachana na madawa
hayo na alifanikiwa na mtu ambaye alimfanikisha kuachana na madawa hayo
ni kijana kutoka mtaani ambaye aliweza kumbadilisha na kufanikiwa hivyo
kijana huyo alifanya kazi kubwa ambayo serikali yake ilishindwa,
mawaziri walishindwa na marafiki zake ambao walikuwa wakila bata na Q
Chief walishindwa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment