Baada ya kukaa siku 33 bila kuzungumzia kutoweka kwa Ben Saanane ambaye
ni msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, jana Jeshi la
Polisi lilijitokeza na kuomba msaada kwa wananchi wenye taarifa
zitakazosaidia kupatikana kwake.
Aidha, hatua hiyo ya Jeshi la Polisi imetolewa wiki moja tangu
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu atoe tamko la kuitaka Serikali
kueleza kama imemkamata au inamshikilia kada huyo aliyepotea katika
mazingira ya kutatanisha Novemba 18.
Mbali ya kutaka Serikali ieleze mahali alipo msaidizi huyo wa Mbowe, pia
mwanasheria huyo alitaka ufuatiliwe ujumbe wa vitisho aliowahi kutumiwa
kupitia simu yake ya mkononi na mtu asiyejulikana.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment