Askari polisi wanne mkoani Kilimanjaro waliotuhumiwa kutengeneza tukio
la ushoga kwa mchungaji wa kanisa la kiinjili la kilutheri
Tanzania(KKKT) wamefukuzwa kazi.
Polisi hao walidaiwa kumkamata mchungaji huyo na mwanaume mwingine
katika nyumba ya kulala wageni wilayani Hai, kumshurutisha avue nguo,
kumpiga picha na kudai awalipe shilingi milioni 10 .
Hata hivyo mchungaji huyo ambaye jina lake limehifadhiwa aliwalipa
shilingi 5.4 milioni polisi hao kumuachia baada ya kumshikilia kwa masaa
sita.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment