Kuna njia nyingi mtu maarufu anaweza kuingiza mkwanja, moja wapo ni
appearances. Watu wenye majina makubwa hulipwa fedha nyingi kwa kutokea
kwa muda mfupi tu kwenye club – na si lazima awe mwanamuziki.
Alhamis hii, Wema Sepetu ameingiza mkwanja wa kutosha kwa kuhost shughuli ya ulaji bata iliyopewa jina la Powerball Thursdays, kwenye kiota cha raha kilichopo Nairobi, Kenya, XS Millionaires Club.
Kiota hicho kina kila aina ya anasa, hadi strippers au kwa lugha ya heshima kiasi waweza kuwaita pole dancers. Na kwakuwa Wema si wa mchezo mchezo, XS Millionaires palitapika jana.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment