
Muimbaji huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa baada ya kushindwa
kufanya vizuri kwenye nyimbo za ujumbe ndio akaangalia ni kitu gani
mashabiki wanataka akaamua kubadilika.
“Mwanzo nilikuwa nikitoa nyimbo zenye vionjo vyenye ujumbe wa kutosha
lakini hazikuwa zikipokelewa sana ila nilipokaa na kufikiria zaidi,
nikatambua nini mashabiki wanataka na ndiyo maana muziki wangu upo juu
sana tofauti na zamani,” amesema.
Rapper huyo kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa ‘Muziki’ uliogeuka kama wimbo wa taifa kwa sasa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment