Wasafi Beach Party iliyofanyika Disemba 24, Jangwani Sea Breezy jijini
Dar es Salaam, ilikuwa iwakutanishe mahasimu warembo Huddah Monroe na
Vera Sidika jukwaani kama mahost.
Wengi tulikuwa tukisubiri kushuhudia drama ya kufungia mwaka kutoka kwa
warembo hao wa Kenya, lakini bahati mbaya fahari mmoja hakutokea.
Huddah Monroe ametumia Snapchat kuelezea sababu iliyomfanya ashindwe
kuja kwenye party hiyo kuwa ni kushindwa kufikia makubaliano waliyokuwa
wamejipangia na Diamond na hivyo ikamlazimu kukatisha kuja katika dakika
za mwisho.
Hata hivyo Vera na mrembo mwingine wa Uganda, Anita Fabiola walikuwepo na kila kitu kilienda freshhh…
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment