Zainab Abdallah, Mkuu wa wilaya ya Pangani ndiye kiongozi wa nafasi hiyo
mwenye umri mdogo kuliko wote Tanzania, kwa sasa Zainab ana miaka 23 tu
na bado hajaolewa lakini pia anazo sifa anazohitaji kutoka kwa mwanaume
anayetamani kuolewa nae.
AYO TV na millardayo.com imempata Zainab Abdallah kwenye Exclusive na
ameeleza jinsi anavyokutana na maswali mengi kuhusu lini ataolewa, nani
ataolewa naye na je atakuwa na sifa zipi ili waendane.
“Nahisi nahitaji kuolewa na hata baadhi ya viongozi wameniambia Zainab
utafika mbali sana lakini una mtihani mmoja tu unahitaji kuolewa, hilo
ndio swali kubwa naulizwa. Unajua mimi ni binti mdogo lakini nimepanda
sana kwenye siasa.”
“Kuna wakati nafikiria kuolewa na mwanaume ambaye hayuko kabisa kwenye
masuala ya siasa, kwasababu tutaweza kuiweka sawa familia wakati mimi
napokuwa kwenye kazi yeye atakuwa na muda na watoto, wakati mimi niko na
watoto yeye atakuwa kwenye siasa, mwanaume ambaye ni mfanyabiashara
labda au meneja wa taasisi fulani tena akiwa hajulikani nitakuwa salama
zaidi” –
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment