Wahenga washasema kila kizuri kina kasoro zake! Hili linajithibithisha baada ya mitindo hii ya mapenzi inavyoambatana na athari na madhara kedekede yakiwemo maradhi ya kuambukiza na magonjwa ya zinaa kwa wale wenye kuwa nayo! Duuh! Haya basi hii ni orodha ya magonjwa ya zinaa ambayo huambukizwa kupitia kulambana na kunyonyana Sirini:-
1. Gonorrhea
Hili huanzia katika koo la muambukizwaji, na mwanzoni huhisi kama ni ukavu wa kifuu au maradhi ya kawaida ya kifua, ila baadae hushuka na kuelekea katika viungo vya uzazi
2. Syphilis
Huu huambukizwa kirahisi zaidi kupitia mdoma na hasa pale inapotekea mdomo ukutana na kiungo chenye athari hizo.
3. Chlamydia
Huu pia huambukizwa kupitia mdomo, ingawa waathirika wanaweza wasijijue maana huwa hauna dalali kwa muda mrefu
4.hepatitis A
Huyu ni Virus anayepatikana katika kinyesi cha binadamu, huyu huwaingia wale wanaopenda kunyonyana na kulambana sehemu za haja kubwa
5.Hepatitis B
Huu huambukizwa kama HIV vile maana virusi vyake hukaa katika majimaji yanayotoka katika sehemu za siri na damu.
6. Hepatitis C
Huu hupatikana pindi damu inapotoka maana vijidudu vyake vinakaa katika damu!
Pia kuna hatari za kupata HIV/AIDS kupitia staili hizi japo kwa uchache sana. Kwa sas nchi za watu wamebuni aina fulani ya C0nd0m ambazo huvaliwa katika mdomo hivyo kupunguza hatari ya kupata madhara tajwa hapo juu! Ila kwa nchi zetu bado sijasikia! Sasa utamu ndo huo na madhara ndo hayo, akili kumkichwa! Mungu azilinde ndoa zetu na Familia Zetu
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment