
Boxing day yako imekujaje leo? basi kwa kocha Peter Maes imekua mbaya
kwasababu kibarua chake kimeota nyasi kwenye club ya KRC Genk leo.
Habari kutoka kwenye tovuti maalum ya club ya KRC Genk imetoa taarifa
kuhusu kumaliza ushirikiano na kocha huyu baada ya kuanza kuifundisha
club hii tangu msimu wa 2015/2016.
Kocha huyu alianza majukumu ya kuifundisha club ya Genk mwaka 2015 hivyo
basi ndiye kocha wa kwanza kumpokea Mbwana Samatta kwenye soka la
Ulaya.
Genk wamemtakia maisha mema kwenye majukumu yake mengine na maisha baada ya Genk.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment