Kwenye interview niliyofanya na Diamond hivi karibuni, nilimuuliza
kuhusu kuandamwa na tetesi za kumsaliti mchumba wake Zari na jinsi
anavyozichukulia. Katika moja ya majibu yake, staa huyo alisema, “There
is no way simba akapita katika zizi la swala akaondoka watu wakasema
hakula swala hata mmoja, watasema tu alikula hata kama hakula.”
Na sasa maneno yake huenda yakawa yametimia. Ni kwasababu, Simba
anasingiziwa kula swala mzuuuuri wa Zimbabwe, jina lake wa kuitwa Jackie
Ngarande.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment