Chadema kimeitaka Serikali kueleza kama imemkamata au inamshikilia kada
wake Ben Saanane aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha mwezi mmoja
uliopita.
Mbali ya kutaka Serikali ieleze mahali alipo msaidizi huyo wa Mwenyekiti
wa chama hicho, Freeman Mbowe, pia Chadema imetaka ufuatiliwe ujumbe wa
vitisho aliowahi kutumiwa Saanane kupitia simu yake ya mkononi na mtu
asiyejulikana.
Akizungumza jana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema: “Serikali ina vyombo
vya ulinzi na usalama, ituambie kama imemkamata au inamshikilia. Kama
hawajamkamata watuambie mawasiliano yake ya mwisho yalikuwa lini na
yalikuwa na nani na yalihusu nini.”
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment