Mkazi wa Mailisita wilayani Hai, Paulo (35) amekufa maji baada ya kuzama
katika mto Kikafu, dakika chache baada ya kubadili dini na kubatizwa na
maji ya mto huo kwa imani ya dini ya Kikristo.
Paulo ambaye jina lake la awali lilikuwa Issa Juma kabla hajabadili
dini, alifariki Jumapili iliyopita katika mto huo, wakati shamrashamra
za kubatizwa kwake zikiendelea pembeni ya mto.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi lililazimika kuwakamata wachungaji wawili wa
kanisa la Efatha waliombatiza lakini waliachiliwa baada ya Polisi
kujiridhisha kuwa Paulo alikufa maji baada ya kubatizwa.
Habari zilizothibitishwa na Polisi, zimeeleza baada ya kubatizwa saa
8:30 mchana na wakati waumini wakiimba kwa ajili ya kurudi kanisani,
ndipo Paulo na mwenzake waliamua kurudi kuogelea.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment