Kutoka ndani ya XXL leo November 22, 2016 U Heard imekuja na stori
kuhusu picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha watoto
wa mastaa wa Bongo Flava, Diamond Platnumz na Alikiba huku ikiwa
imeandikwa (Natamani mkikua mje kuoana ili baba zenu wapatane).
Kwa mujibu wa Soudy Brown baada ya kuzagaa kwa picha hiyo, kuna tajiri
fulani jijini Dar es salaam ambaye inadaiwa ni shabiki wa wasanii hao,
amejitokeza na kusema yuko tayari kumlipia mahari mtoto wa Alikiba ili
aje kumuoa Tiffa, mtoto wa Diamond.
Soudy Brown amezungumza na Diamond Platnumz kuhusu suala hilo na je ana maamuzi gani juu ya mwanaye kutolewa mahari.
“Ntampiga hela zake hatokaa aamini, sijajua ntataka walipe kiasi ila
sitatoa bure uislamu huo sina mimi, eti sijui uje tu na kitabu aaah
wapi, hapa hela tu tena itakua hela nyingi sana labda itokee mwenyewe
atunuku ila kama atanisikiliza mimi baba yake atapiga hela nyingi tu
hata Dola milioni 1 ndogo” – Diamond
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment