Rapper wa kike mwenye swaga za hatari Chemical amesema anashangazwa kwa
kitendo cha baadhi ya watu wanaompinga kuwa hajawahi kufanya mapenzi.
Hitmaker huyo wa ‘Am Sorry Mama’ amekiambia kipindi cha Kubamba cha
Times FM, kuwa aliwahi kuwa na mpenzi lakini waliachana kwa kuwa alikuwa
na haraka ya kufanya mapenzi.
“Sijawahi kufanya mapenzi hata siku moja. nimeachana na mpenzi wangu kwa
sababu hataki kusubiri, nipo single sasa hivi. Sijui watu kwanini
hawaamini wanahisi ni kitu ambacho hakiwezekani aisee,” amesema
Chemical.
Kwa sasa rapper huyo anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Mary Mary’ aliouachia siku chache zilizopita.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment