Admin hide my name , mimi ni kijana wa
kitanzania nina mke na mtoto mmoja kwa muda wa miaka miliwili sasa
nimekuwa nikisoma UK Deree yangu ya pili , kwa sasa nimemaliza nimerudi
Tanzania , sasa cha ajabu ambacho sikielewi ni kuwa kila nikikutana na
mke wangu anataka nimwingilie kinyume na maumbile..yaani sometimes
anaipeleka mwenyewe huko sehemu kwa siku kama mbili nimekuwa nafanya
bila kujua imeingia huko...sasa nimejua nimemkalisha kikao lakini
haeleweka hajanipa jibu la maana paka sasa...nahisi wakati mimi nipo uk
kuna mtu alikuwa anamchezea sasa imekuwa hawezi sikia raha mpaka afanye
hivyo ..mimi ninajua madhara ya huo mchezo siwezi kabisa kufanya kwa mke
wangu ...swali linakuja hapa sasa nisipomfanyia ina maana ataendelea na
hao jamaa zake wanao mfanyia ...sasa sijui nifanyaje ...naomba ushauri
wa kina hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment