Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Aaron Motsoaledi amezua mshangao mkubwa
nchini humo baada ya kuwaonya wasichana akisema kuwa wanaume ambao
hucheza sana kwenye sherehe na kumbi za starehe huwa na maumbile madogo
ya uume.
Wanaume hawa huwa na fedha nyingi sana na wanapokuwa katika kumbi za
starehe hununua vinywaji vya ghali sana kiasi kwamba ni rahisi kuwavutia
wasichana. Mara nyingi hupenda kucheza katikati ya ukumbi au hata juu
ya meza sababu hupenda kuonekana na watu. Kaa mbali nao watakuambukia
UKIMWI na maumbile yao ya siri madogo, alisema waziri huyo.
Lakini pia Waziri aliwaasa watu kuchukua tahadhari na kutumia kinga ili
kujizuia na magonjwa ya ngono na mimba ambazo hazitarajiwi.
Audha, Waziri Aaron aliwataka wanaume haoa wenye maumbile madogo sehemu
za siri kukaa mbali na watoto wa kike. Tunawatazama kaeni mbali na
watoto hawa, alisema waziri.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment