e
mambo ya msingi… kama utahisi haya nitakayo yaeleza yamekukera jifanye
kama hujaona na uendelee namabo yako sitaki comment za matusi!!!! Kwanza
kwa nini wasichana wengi mmekuwa matapeli wa mapenzi? Utakuta msichana
hajampenda jamaa lakini anataka pesa tu na anapretend kama amekufa
ameoza hii inajidhihirisha pale mnapokuwa kunako sita kwa sita utaona
msichana anapiga kelele za hatari mnaweza kuwa mpo Mwenge lakini watu wa
mbagala wanazisikia kelele hizo…. Kwa mwanaume asiejua mambo anaweza
kuhisi ndo amemtoa bikira mdada huyo kumbe wapi ni wizi mtupu….mtoto
anatengeneza tu mazingira ya kukutoa pesa… mkimaliza ukimpa elfu 5 ya
nauli anakwambia beib hela gani hii hivi hujaona jinsi ulivoniumiza
jamani nipe hata elfu 30 basi…. Kweli mapenzi kamari Nanyi wanaume
waogopeni sana wasichana wenye tabia kama hizo maana hawana mapenzi ila
wapo kimaslahi zaidi!!!! Na pia watoto wa kiume epukeni kujitafutia
magonjwa makubwa kwa kuwanyonya hawa wasichana sehemu zao za siri ….
Usiige yale unayoyaona kwenye mikanda ya ngono ukahisi ni jambo zuri,
kumbuka wale wanaoigiza mikanda ya xxx wapo kibiashara zaidi na sio
kimapenzi…… Kwanza hebu tafakari mambo matatu yafuatayo….. 1. wanawake
wanaenda breed kila mwezi…. Ila damu huwa ni chafu sana ndio maana
hairuhusiwi kulala nae wewe unapata wapi ujasiri wa kumnyonya!!!! 2.
Wanawake wengi wanatumia vipodozi na madawa mengi yenye athari wewe
unajiweka kundi gani kwa kuyalamba na kuyameza hivi unayapenda kweli
maisha yako na wanaokutegemea 3. Inawezekana mwanamke huyo ndo mara yako
ya kwanza kukutana nae hujui aliwahi kuwa na nani huko nyuma wewe
unakurupuka tuu na kutaka kuonesha ufundi wako….. huenda alikuwa na
jamaa mwenye magonjwa ya ngozi kama ukurutu, malengelenge, fangasi na
mengineyo….fikiria mara tatu kabla ya kuyaweka rehani maisha yako kwa
mambo ya kijinga!!!! NJIA MBADALA NA NZURI NA PENZI LITAKUWA TAMU Tumia
njia zingine kama kupapasana, kutekenyana sehemu mbalimbali kwa kucha na
vidole … Na pale muwapo ndani ya sita kwa sita msisitize mpenzi wako
kukata viuno taratibu ila kwa ufundi, mtekenye masikio yake taratibu kwa
kucha zako….. mtazame kimahaba, mtekenye na mpapase chini ya kitovu
hadi kwenye nywele za ikulu yake…. Usisugue haraka haraka kama
unakimbizwa fanya taratibu ila kwa ufundi……. Kwa hujui ufundi upoje
usione aibu nitumie sms inbox hapo na nitakusaidia…… Je, unapenda kesho
niendelee na madhara ya kiss na kunyonya uume?
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment