Japo ni tuzo za Tz.... ilikuwa haina baja ya kusemea hili maana
tulilitegemea lakini ukweli lazima uwekwe wazi! Lady Jay De hakustahili
kuchukua Tuzo aliyo chukua Juzi! Labda jana ilikuwa ni kwa Ajiri ya
Wakongwe Tuuu lakini nafikiri hata tukifuatilia upigaji kuraa utaona
Vanessa Mdee alikuwa anakura nyingi Tuuu!!!!
Tukiachana na kura Kwa sasa na kwa miaka 2 nyuma wakati lady Jay De
alikuwa Nje ya nchi vanessa Mdee ndo amekuwa mtu anae iwakilisha vyema
Tanzania Nje ya nchi kwa upande wa Kike hadi kuwa nominated Mara mbili
Tuzo za Mtv! Ameshajijengea Mashabaki ndani na Nje ya nchi lakini mwisho
wa siku anakosa Tuzo kisa Figisu Figisu!!
Tunaweza kugues why Vanessa Mdee kakosa tuzo lakini sio mahara pake hapa
Japo waliotoa Tuzo wanajua ukwelii!! walio ona mchakato wa hizi tuzo
waliamua kukaa Mbali!
Lakini kiukweliii Vanessa Mdee Alistahili hii tuzo bila
ubishiiiiii.......Hata iwe kwa mchakato wa kuraaa Bado vanessa Ana Fan
Base kubwaaa kuliko huyo!!!!
Haya ndo yanayo fanya watu kususia hizo Tuzo! ila Kwangu mimi kwa mwaka Huu Vanessa Mdee ndo the best
Imeandikwa na Danya/Jamii Forums
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment