Pierre Ismael Bidoung Mpkatt (kulia) akimsalimia Paul Biya.
Tangu
Waziri wa Michezo nchini Cameroon, Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame
wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zilisambaa
mitandaoni.
Watu nchini Cameroon wamekuwa wakiiga picha hizo, kusalimiana kwa kutumia staili hiyo na kutupia picha mitandaoni.
Hapa
nimekuwekea baadhi ya picha hizo huku wengine wakionekana kwenda mbali
zaidi na kusalimiana na wanyama kama vile mbwa, mbuzi na wengine.
Darassa Afunguka Tuhuma za Kuiba Beat ya Saida Karoli Kwenye Wimbo Wake wa Muziki
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment