Baada
ya kuenea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa mchekeshaji MC Pilipili
anatoka kimapeniz na Rose Ndauka, muigizaji huyo amekanusha uvumi huo.
Wiki
chache zilizopita kupitia kipindi cha The Play List cha Times FM
mchekeshaji huyo alidaiwa kukiri kutoka kimapenzi na muigizaji huyo.
Jana
ijumaa muigizaji huyo amescreenshot ujumbe wa mtangazaji wa The Play
List, Lilommy ambao ulidai huwenda wawili hao wakawa wanatoka kimapenzi
na kuandaika
“Jamaniii
naomba niweke ili swala sawa sawa, mimi na MC Pilipili ni watu
tunaofahamiana haswa kwenye kazi hatuna uhusiano wowote wa kimapenzi.
NADHANI NTAKUWA NIMEELEWEKA”
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment