Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu
aachane na mume wake, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi
kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa
picha alizoweka Instagram, uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena ukawa
ni mkubwa.
Na tena kwa anachokiandika mwenyewe kwenye Instagram, Jide anamaanisha kuwa amefunga ndoa tayari! “Big shout out kwa Coastal air
Kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon #ZanzibarIsland,”
ameandika Jide kwenye picha akiwa amesimama pembeni ya ndege waliyokodi
na mwanaume huyo ambaye ni mgeni machoni pa wengi.
Kwenye picha nyingine hiyo juu, Jide ameandika: Thank you Serena Hotel
for the amazing dinner 🙏 we really enjoyed #ZanzibarIsland.”
Pia rafiki yake wa siku nyingi, Monica Joseph ameweka picha za wawili
hao na kuandika: My BFF is better than yours .. looking Good My People
.. Love Lives here.”
Ni kweli Jide amefunga ndoa? Majibu yatapatikana punde!
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment