Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mwaka 2016 ulikuwa wa
utumbuaji na majipu na kusahau kuongoza na kuboresha maisha ya wananchi.
Akizindua kampeni za chama hicho katika Kata ya Kijichi, Dar es Salaam,
Zitto alisema Serikali inapaswa kuendelea mapambano dhidi ya ufisadi
lakini pia kuimarisha hali za wananchi.
Akimnadi mgombea wa chama hicho, Edgar Mkosamali, mbunge huyo wa Kigoma
Mjini alisema,“Sisi kama chama hatuna tatizo na mapambano ya Serikali
dhidi ya ufisadi na rushwa, lakini ni vyema mapambano hayo yakaenda
sambamba na kuimarisha hali za watu na hilo ndilo tatizo la walio
wengi.”
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment