Loading...

TABIA YA MKE WANGU IMENICHOSHA


Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright KISWAGA BLOG
Back To Top