Hatimaye Rais John Magufuli amehitimisha mjadala wa matumizi ya fedha za
msaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera kwa kukarabati
Shule ya Sekondari ya Omumwani inayomilikiwa na CCM kisha Serikali
kuinunua.
Novemba mwaka jana, Meya wa Manispaa ya Bukoba, Adronicus Karumuna
alilalamikia zaidi ya Sh70 milioni za tetemeko hilo lililotokea Septemba
10 mwaka jana na kusababisha vifo vya watu 17 na kuharibu miundombinu
mbalimbali, kutumika kukarabati shule hiyo ya Jumuiya ya Wazazi huku
waathirika wakiwa hawajapata msaada wa maana.
Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1966 ikiwa ya kwanza ya Wazazi nchini,
ilikarabatiwa na Serikali ili kuiwezesha kupokea wanafunzi wa Sekondari
ya Ihungo baada ya shule yao kuharibika kwa tetemeko.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment