Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii wa muziki wa Bongo fleva Prof Jay
ameitumia vyema siku ya kuuaga mwaka 2016 kwa kumvisha pete ya uchumba
mzazi mwenzake Grace Mgonjo zikiwa ni harakati za kuelekea kufunga ndoa.
Prof Jay mwaka jana kupitia kipindi cha Planet bongo aliahidi na kusema
kuwa haitapita muda mrefu sana watu wataanza kupewa kadi kwa ajili ya
ndoa yake na sasa hizi ni dalili kuwa huenda ndoa hiyo ipo siku za
karibuni.
"Asante sana Mungu, leo (Jana) tunaufunga mwaka namna hii na Mke wa
Profjize" aliandika Prof Jay katika picha akiwa anamvisha pete ya
uchumba Grace Mgonjo
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment