Loading...

MPENZI WANGU ALINIACHA KAAMUA KUISHI NA MWANAMKE MWINGINE SASA HIVI ANAOMBA TURUDIANE, JE NIMSAMEHE?



https://c2.staticflickr.com/6/5103/5664536363_2894885a3b.jpg
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28, cjaolewa ila nimebahatika kupata mtoto mmoja ambaye tangu amezaliwa ckuwahi kuishi na baba yake na kumlea inshort, tulishaachana
Siku tuliyokutana alinipokea vzuri na kuomba msamaha sana kwa sbb aligundua kuwa amenikatisha tamaa na ckuwa najisikia vzuri, katika mazungumzo yetu nikamuuliza swali moja tu una mpango gani ss na huyo dada, akanijib hawezi ishi nae ktk maisha yake,jibu lake lilinipa amani tukarudiana,.

Baadae nilibahatika kumpata kijana mwingine ambaye tulipendana sana Nilijisikia furaha sana kuwa nae matokeo yake bila mm kujua kumbe alikuwa na mahusiano mengine na mwanamke ambaye alimpa ujauzito na baadae kujifungua ambapo mm nilipokuja kujua na niliumia sana, ckuumia kwa sbb ya yy kupata mtoto niliumia kwa sbb alinificha hakuwa mkweli kwangu.

Kadri siku zilivyozid kwenda nikaona anaanza kubadilika nikimpigia hapokei, msg hajib kumbe yule dada alishahamia kwake nilipojarib kumuuliza akasema ndio kwani ni dhambi yy kukaa na mwanae ? niliumia sana nikasema ngoja niachane nae na siitaji kuwasiliana nae awe free na familia yake, juzi nimebadili cm ambayo naitumia nikaona ananzaa kunisumbua na kuomba msamaha kuwa anataka kuendelea na mm, na c mara moja kwa kuhesabu ni zaidi hata ya mara ishirini anaomba msamaha, nimekuwa cimuelewi kwa sbb kama anaishi na mtu iweje aendelee kuomba msamaha na anasubutu kusema hawezi kbs kuishi bila mm kwa yale niliyomfanyia na nilivyokuwa namjali na kumyenyekea, ameona mm ni mwanamke ambaye alikuwa naniitaji ktk maisha yake, naomba ushauri hv huyu kijana anamaanisha au ni msanii tu, ingawa bado nampenda ila nimekuwa muoga sana.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright KISWAGA BLOG
Back To Top