Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameondolewa mamlaka ya kutoa adhabu isiyokatiwa rufaa kwa mshtakiwa anayekiri makosa ya kimtandao.
Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu,umeipa Serikali miezi 12 kukifanyia
marekebisho kifungu cha 50 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao
kilichobatilishwa.
Hata hivyo, mahakama hiyo imehalalisha vifungu vingine vyote vya sheria
hiyo, ambavyo pia vimekuwa vikilalamikiwa na wadau wa matumizi ya
mitandao na teknolojia ya habari.
Uamuzi huo umetokana na kesi ya kikatiba, iliyofunguliwa na Mtandao wa
Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Kituo cha Msaada wa Sheria na Haki
za Binadamu (LHRC)na mashirika mengine.
Katika hukumu iliyotolewa na majaji Profesa John Ruhangisa, Winfrida
Korosso na Lugano Mwandambo, Mahakama ilibatilisha Kifungu cha 50 cha
sheria hiyo, lakini ikaridhia vingine kuwa ni halali.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment