Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, leo imeshindwa kusikiliza rufani ya
Jamhuri dhidi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kupinga dhamana
yake, baada ya mawakili wa Serikali kuwasilisha notisi ya kukata rufaa
katika Mahakama ya Rufaa wakipinga kusikilizwa kwa rufani hiyo .
Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Salma Maghimbi alitarajiwa kutoa
uamuzi juu ya rufaa ya Jamhuri iliyopinga Lema kupatiwa dhamana
Novemba 11 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Arusha, Desderi
Kamugisha katika kesi namba 440 na 441/2016 ya kutoa lugha za uchochezi
dhidi ya Rais John Magufuli, ambapo siku hiyo Jamhuri iliwasilisha
notisi ya mdomo.
Baada ya Lema kufikishwa mahakamani saa 3.25 asubuhi akiwa chini ya
ulinzi mkali, huku pia polisi wakiwa wametanda viwanja vya Mahakama Kuu
ndani na nje sanjari na gari moja la maji ya kuwasha, baada ya mawakili
wa pande zote kujitambulisha Jaji Maghimbi alisoma notisi ya Jamhuri
kupeleka shauri hilo Mahakama ya Rufaa na kueleza kufungwa kisheria
kutoa uamuzi wa rufani hiyo.
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment