Msanii mkongwe wa muziki Ferooz Mrisho ambaye katika miaka ya 2000
alitamba na wimbo wa Starehe ambaye kwa sasa ameathirika na dawa na
matumizi ya Madawa ya kulevya, amedai inamuwia vigumu kuachana na
matumizi ya dawa hizo. Muimbaji huyo amedai amejikuta akitenga bajeti
kubwa ya fedha kwa matumizi ya kutumia dawa.
“Ninawaomba wasanii wenzangu wasitumie dawa maana ni vigumu kuacha.
Natamani sana kurudi kama zamani ili heshima yangu iwepo ila
inanisumbua, lakini naamini iko siku,” Ferooz aliliambia gazeti la
Mtanzania. Hata hivyo muimbaji huyo alipoulizwa ni wapi anaponunua
Madawa hayo hakuwa tayari kutaja.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment