Zikiwa zimepita wiki chache tangu diwani wa Boma katika Halmashauri ya
Mji wa Mafinga, Julist Kisoma asimamishwe kufanya shughuli za udiwani
akidaiwa kutojua kusoma, amefunguka akisema alisoma hadi darasa la saba
lakini hakufanya mtihani wa mwisho.
Kisoma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko Kuu la
Mafinga, amesema anafahamu kusoma na kwamba, tuhuma dhidi yake
zimetokana na msimamo wake wa kusimamia rasilimali za kata yake na
halmashauri.
Hivi karibuni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Charles Mkoga
alitangaza kumsimamisha diwani huyo wa Chadema kufanya shughuli za
udiwani ikiwamo kuhudhuria vikao hadi suala lake litakapopatiwa ufumbuzi
na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na
Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment