Leo ktk kipindi cha Wlive Dk Marina Njelekela The Big Boss wa hospitali ya Taifa Muhimbili, ataweka wazi staili za kufanya ngono a.k.a tendo la ndoa zinazochochea maambukizi ya VVU vinavyosababisha Ukimwi….. ni saa tatu kamili Eatv…..
Kama unakumbuka wiki iliyopita tulianza Msimu wa WLive na Madam Ritha, lakini tulipoishia tulikuwa na Amina Plummer a.k.a Amina Design, pamoja na Shamim Mwasha Director wa 8020 Fashions, leo tutaendelea na Executive Director wa National Hospital Muhimbili Dk Marina Njelekela na mjasiriamali Nasra Rajesh…..on Eatv saa tatu usiku leo……
Big up sana Wanawake na Maendeleo kwa kuja kwenye kipindi cha WLive msimu mpya , kushoto ni mjasiriamali Amina Design, Shamim Mwasha, Dk Marina Njelekela, Joyce Kiria na Nasra Rajesh……kama ulipitwa wiki iliyopita leo ni zamu yako….saa tatu usiku ndani ya Eatv…..
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment