Video Queen Gigy Money amesema kwa sasa wasanii wachanga wanamgombania kutaka atokelezee kwenye video zao.
Akiongea na Bongo5 wiki hii, Gigy Money amedai wasanii hao wanaamini akitokelezea kwenye video zao na wao watakuwa wametoboa.
“Kusema kweli sasa hivi underground wananisumbua sana,” alisema Gigy
Money. “Wengi wanaamini nikishiriki kwenye video zao ‘nitawakikisha’ na
watatoboa. Lakini nashukuru yote ya yote ni biashara wakija ni milioni
moja nashiriki kwenye kwenye video kwa sababu ni wengi na bado kwa bei
hiyo kuna baadhi wao nawachinjia baharini kwa sababu siwezi kutokea
kwenye kila video,”
Pia Gigy alidai kwa sasa yeye ndiye video queen ambaye anafanya kazi nyingi za kulipwa nchini.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment