Loading...

Siku nilipotongozwa na baba yangu facebook



Ni visa juu ya visa mikasa juu ya mikasa mrembo fetty ajikuta akitongozwa nababa yake mzazi wa kumzaa ndani ya facebook  wapeana mapenzi mazito.
.huku baba fetty akijiandaa kufungua mlango wa chumba cha guest aliyofikia fetty nchini malawi ndipo fetty alipogundua kumbe aliyekuwa anachat nae ni baba yake mzazi  kabisa……
Je fetty alifanyeje????ni kisa kizito..
Ilikuwaje ,na itakuwaje ndani yah ii simuliz ya kusisimua….
SIMULIZI INAANZA ….
Fetty mtoto wa pili wa familia ya watoto wawili ,Baba na mama yake wameshatengana muda mrefu na fetty muda wote alikuwa anaishi na mama yake huku kaka yake akiishi na baba yake mzazi.Fetty ali alijiunga na facebook mwaka 2012 na kuanza kuutumia mtandao wa facebook kama mtandao wake wa kujumuika na watu na marafiki zake.fetty ali mrembo wa uhakika alikuwa akipost picha zake za mapozi  mbali mbali kitu ambacho kiwavutia wavulana na wasichana kuomba urafiki nae.katika muda mfup tu fetty alijikuta ana marafiki  3000 na kitu kilichompa furaha na faraja sana kila siku… msg za INBOX zilikuwa hazipungui kwa siku  50 kutoka kwa  marafiki mbali mbali wa kiume na wakike ingawa wakiume walikuwa wengi na wengi wao walikuwa wanamtaka kimapenzi na kusababisha kuwa kero kwake muda mwingine walikuwa wanatuma mpaka picha zio za utupu kumshawishi awe nao kimapenzi..
Siku ya siku fetty alikutana na rafiki yake pendo na kupata wazo la kufungua akaunti bandia ya facebook,pendo alimshawishi sana fetty afanye hivyo na atapata pesa nyingi ssana kama yeye alivyofanikuwa kula pesa za wanaume wengi wengi wakiwa wanaume za watu wenye pesa nyingi huku akimpa mfano wa hussen mume wa msanii maarufu alivyomlia pesa zake kwa kukubali kuwa atakutana nae kimwili kama atamtumia milioni1,..fetty aliogopa sana na kumwambia upendo hizo ishu ni hatari sana na kwanza hajazoea wizi wala utapeli.pendo alikuwa amekubuhu sana katika hiyo biashara kiasi cha kuacha na shule kabisa na kujikip buze na simu yake kutengeneza pesa.
Fetty  alitamani maisha ya pendo simu ya milioni mbili mkononi,nguo za bei mbaya na nje alikuwa amepaki kigari chake cha kutembelea nje..
Fetty akaamua kukata shauri na kuchukua laptop yake na kuunda  akaunti bandia kwa jina la Luc ali,na kutafuta picha mrembo wa ulaya black amerika mmoja na kuwa anazitunia kama zake kwenye account hiyo aliyojifanya kasoma chuo cha tumaini iringa kitivo cha sheria mwaka wa pili.
Baada ya account hiyo kukamilika aliachie hewani na kuendelea na mabo yake ya kawaida na pia alijiomba urafiki kwenye akaunti yake ya ukweli nay a pendo shoga yake..
Pendo baada ya kujua huyu ndo feety anakuja kivingine akamuombea na marafiki wenye pesa yaani akaomba marafiki zake wamkubali na ndani ya muda mfupi akaunti fek ikafikia watu 1500.na msg zilikuwa haziishi kuingia wanaume wakimtaka kimapenzi na fetty akawa kazi yake kutengeneza appointment hewa na kujiingizia kipato ,kwa wiki fetty alikuwa navuna si chini ya laki 8,kutoka kwa watoto wa matajiri wanaojifanya kumenda mpenda kwenye hiyo akaunti yake fek ya aliyoipa jina la luc ali, fetty alikuwa buze kutafuta picha za nusu uchu zinazoendana  umbo na za Yule msichana mmarekani mweusi alizoweka kweye profile yake ya luc..na pindi akizipata alikuwa nazitupia kwenye profile yake ili kuwavutia wavulana wengi zaid..
Huku nyuma sasa.
Si unajua tena wazee wetu wa kisasa nao wamo ndani ya facebook wanafanya yao basi..mzee ali alikuwa na harahati zake za chini chini ndani ya mtandao wa facebook kusaka wasichana wadogo umri sawa na mtoto wake na kuwarubuni  na kisha kufanya nao mapenzi,huku nae akijita Julius ilikuwa ni vurugu maana waliweka picha ya kijana handsome na alikuwa aki upload picha hizi mara kwa mara na kujifanya yeye ni IT, na hajaoa na hana hata mtoto.baba fetty siku ya siku alisema ngoja apite kwenye account za watoto wake kusaka mrembo wa kufanyanee ufilauni wake. alipofika kwa fetty  alikuta ana marafiki wengi sana na aliyemvutia ni huyo luc ali kwanza kwa kuwa alikuwa ameweka picha ya kikahaba kahaba mno na pia alikuwa ana jina la mwisho ali.baba fetty akomba urafiki na luc na baada ya muda si mrefu luc akakubali na wakaanza kuchati..
Julius:hy…
Luc:Hy
Julius:uko poa
Luc:k

Julius:umependeza mrembo


KUSOMA SIMULIZI YOTE                                          BONYEZA HAPA

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright KISWAGA BLOG
Back To Top