Loading...

SI YA KUKOSA KAMA WEWE NI MWANAUME !!!!HIZI NDIZO TOP 4 YA STAIRI ZA KUFANYA MAPENZI ZITAKAZOKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA,SOMA HAPA MWANAUME NIKUJUZE==>>


Kuna aina mbalimali za stairi kufanya mapenzi huko mtaani,lakini sio zote ni nzuri kwa ajili yako na kwa ajili ya kumridhisha mpenzi wako,labda kama unataka kukojoa mapema .
Kama unachelewa kukojoa kunastaili ambazo ni bora kwa ajili yako ili uweze kuwahi mapema,lakini kama unajua huwa hudumu kitandani na mpenzi wako basi kuna aina aina ya stairi ambazo unatakiwa kuzitumia ili angalau zikusogeze kidogo kuliko kutoa haraka.
Kama unataka kuchelewa kukojoa tunahitaji kukwambia siri ambazo zitakusaidia kuchelewa kukojoa mapema kabla ya kuingia kwenye mada moja kwa moja.

Ingawa hizi stairi zitakusaidia kuweza kudumu kwa muda mrefu bila kukojoa mapema,lakini kama hautaelewa mbinu chache sana,basi haitakusaidia hatakidogo.Unachotakiwa kuelewa ni kwamba tukio lote linategemea ubongo wako na kila kitu unachokifanya kiko pale.Kwa hiyo kila kitu unachokifanya kinategemea na kiasi cha hisia,pawa ya kupampu,kupumua pamoja na kontrol ya misuli yako

Kwa hiyo kabla hujafanya chochote,hakikisha unafanya msawazo wa ubongo wako na usilifikirie tendo hilo sana,kwa sababu kama ukilifikiria sana tendo hilo nguvu nyingi zitaenda kule.

Pia Kama unamatatizo ya kuzaliwa au ugonjwa uliokusababishia kuwa hivyo  mbinu hizi hazitakusaidia kabisa.Tunaamini tumekupotezea muda ngoja sasa tuingie kwenye mada moja kwa moja kwa haraka bila kuchelewa hizapa chini ni stairi  4 muhimu sana zitakazo kusaidia kuchelewa kufika kileleni .

1. MSICHANA AWE JUU.
Kama umewahi kugundua hilo,wanawake wanapokuwa juu,pawa yao ya kupampu juu chini sio kalai sana kama ya wanaume mara nyingi wanakuwa wako pole pole na kwa ufasaha zaidi
Kama mwanamke  nae anaijua hii stairi kuwa itamsaidia mwanamme wake anaweza kufanya hiki kitu kwa ajili ya kumsaidia mpenzi wake,anaweza kumshika tumboni kwa vidole vinne na hili likaweza kumsaidia kuchelewa kufika kileleni 

2. NDANI-KWA-MUDA
Stairi hii mara nyingi hufanyika mwanamme akiwa juu,pia ni njia ya kukusaidia kuchelewa kufika kileleni kwa haraka.
Mbinu hii itakusaidia kubadili muda wa kupampu kati ya ndani sana na kwa juu  juu ya sehemu za msichana Kwa sababu mipigo mifupi mifupi itakusaidia kuchelewa kufika kileleni kwa sababu misuguano inakuwa midogo.


3.LAMBA-LAMBA
Wakati wa kufanya mapenzi,na unapokaribia kifika kileleni,unaweza ukachomoa haraka haraka na kuanza kumlamba sehemu zake vizuri,hii itakusaidia ku re-relax na kuzia kukojoa mapema pia hili litamfanya mpenzi wako awe na mudi pia.Baada ya muda kupita zitakuwa zimerudi, unarudi tena na itakuwa kama unaanza tena upya kugegeda hehehehe!!!(wengine mtaona kama kinyaa ndo mapenzi hayo utafanyaje sasa hehehehe!!) 

4. KIBIRITI-NGOMA
Hii ni stairi nzuri sana na unasaidia sana kwa ajili ya kumfanya mpenzi wako nae afike kileleni mapema sana kabla yako.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright KISWAGA BLOG
Back To Top