Siku moja kulikua na Wavulana wawili ambao ni marafiki sana kupita kiasi na Marafiki hawa walikua ni zaidi ya
MARAFIKI kwani ni mithili ya
NDUGU
kwani wanaaminiana kwa kila jambo, Sasa siku moja kati ya story zao
walizokua wakizungumza ni pamoja na Kuongea na wapenzi wao kupitia sim
kwenye majira ya usiku mmoja kati ya hawa marafiki alianza kuongea na
mpenzi wake kwakua siku chache zilizopita walikua
hawana maelewano
kidogo sasabasi kipindi wanaongea ndipo jamaa huyu alipo hitaji rafiki
yake nae amsalimie shemeji yake kwani walikua hawafahamiani na yule
shemeji yake ndo kwa mara ya kwanza anamsalimia na kufahamishana vizuri
sasa kilichoendelea baada ya kufahamishana ndipo waliendelea na stori
nyingine huku wakileteana mzaa ama masihara huku jamaa anasikia tena
wakiwa wameweka laudi spika. Baadae ndipo yule msichana anaeongea nae
jamaa wa pili ama rafiki wa yule binti
{shemeji} msichana alionekana kubadilisha mawazo taratibu na kuhamia kwa shemeji yake bila kutongozwa wala kuambiwa neno
NAKUPENDA
huku bwana yake akimsikia. Siku ile ikapita akawa hapati kani hewani
kama siku mbili hivi ndipo wale marafiki walipoanza kujiuliza inakuwaje
yule msichana kumtaka shemeji yake na kumwacha bwana yake isitoshe yeye
na shemeji yake huyo aliyetambulishwa hawajuani wala hawajawahi
kuonana?. Maswali yaliwaandama bila majibu. Baada ya siku hizo kupita
akapatikana tena hewani wale malafiki wakapanga kumjalibu yule msichana
kwa kutaka jamaa ambaye ndiye shemeji ampigie yule bint kwa namba yake
na wala si ya bwana yake kisha ajifanye kama hayupo nae na aongee nae
yeye ili kuona je juzi yake alikosea ama alikusudia kufanya hivyo ndipo
alipo mpigia sim huku ikiwa laudi spika pia na msichana akapokea
akafahamishwa kua
SHEMEJI yako hapa na alimkumbuka na
kuanza kuongea nae lakini katika maongezi hayo msichana alionekata kuwa
alichokifanya juzi yake usiku alikikusudia haswa wala hakukosea wala
kupotea njia alionyesha mkazo wake kua ameshamsahau mpenzi wake na
kuanzisha mapenzi mapya kwa shemejiye na kua mpenzi wake badala ya
shemeji yake. Jamaa ambaye alikua mpenzi wake aliumia sana lakini
alitumia maamuzi ya kiume kuachana nae bila kugombana nae na ambaye
alikua mpenzi wake mpya awali alikua shemeji na yeye akaamua kumtosa
kwani alijua sio vizuri kua nae atamuumiza rafiki yake pia kwa kujihami
na yeye yasije yakamtokea pindi atakavyokua nae.
KWELI MAPENZI YANATESA MOYO.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment