Huenda huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa
bongofleva Rehema Chalamika aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na
pale katika maisha yake ya muziki.
Muimbaji huyo ambaye amedaiwa kuweza kuachana na matumizi ya Madawa ya
kulevya baada ya kushindwa kwa muda mrefu,wiki chache zilizopita aliweka
kambi ndani ya studio ya Wanene kwa ajili ya maandalizi ya ujio wake
mpya.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment