KWA
wanaume ambao walishawahi kujihusisha katika uhusiano wa kimapenzi au
hata unyumba, ni dhahiri kuwa wakati fulani waliishaambiwa na wake zao
au wapenzi wao kuwa hawajisikii kufanya mapenzi. Na kama umewahi
kusikia kauli ya 'sijisikii' maranyingi
kiasi kwamba huwezi kukumbuka idadi, hupaswi kuwa na wasiwasi na
kuhisi kuwa pengine una matatizo, kwani wapo wanaume wengine wengi
walio pamoja nawe katika mkumbo huu.Wanaume
wengi hulalamika kuwa wake zao, au wapenzi wao hukataa kufanya nao
mapenzi mara kwa mara. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya wanaweza
kujikuta wakiwaweka wapenzi wao katika lawama, baadhi wakidhani wana
wapenzi wengine nje na kufikia hatua ya
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment